Amos 5:25-27


25 a“Je, mliniletea dhabihu na sadaka
kwa miaka arobaini kule jangwani,
ee nyumba ya Israeli?
26 bMmeyainua madhabahu ya mfalme wenu,
Sikuthi mungu wenu mtawala,
na Kiuni mungu wenu wa nyota,
ambao mliwatengeneza wenyewe.
27 cKwa sababu hiyo nitawapeleka uhamishoni mbali kupita Dameski,”
asema Bwana, ambaye jina lake ni Mungu Mwenye Nguvu Zote.
Copyright information for SwhNEN